Mifumo ya kutoa maonyo ya simu za mkononi na taa za LED
Huu ni mfumo rahisi wa utumaji SMS kuwaonya watu kuhusu ndovu kukaribia mahali na kutaarifu Vikosi Kazi kwenye eneo. Watu wanaoishi karibu wanahimizwa kujiunga na huduma hii.
Soma bure kwenye ISSUU: Mifumo ya kutoa maonyo ya simu za mkononi & taa za LED by Save the Elephants - Issuu
- Version 1
- Download 2
- File Size 1.10 MB
- File Count 1