Mitaro

Vizuizi hivi hutumika kuzuia ndovu kutoka nje ya maeneo ya hifadhi ya misitu au kuingia katika mashamba yaliyolimwa au maeneo wanakoishi binadamu. Vinaweza kutumika kuwaongoza ndovu kupitia juu ya daraja au njia za chini.
Soma bure kwenye ISSUU: Mitaro cha Save the Elephants - Issuu
- Version 1
- Download
- File Size 3.79 MB
- File Count 1