Skip to main content

Ua wa ukanda wa chuma

Ua wa ukanda wa chuma “Kasaine” uliowekwa ukizunguka nje ya shamba hutoa kelele ya chuma isiyo ya kawaida unapopeperushwa na upepo. Uakisi mwanga wa jua au tochi kwa ndovu wanaokaribia hivyo kuwa kizuio cha sauti na kelele.

Soma bure kwenye ISSUU: Ua wa ukanda wa chuma cha Save the Elephants - Issuu

Login is required to access this page
  • Version 1
  • Download 1
  • File Size 3.24 MB
  • File Count 1