Ulinzi wa miti

Ndovu wanahitaji kula miti na majani ili wapate virutubisho, lakini pia wanaweza wakaharibu moja kwa moja miti mikubwa yenye umuhimu – wanabandua magome, wanavunja matawi na kung’oa kabisa miti.
Soma bure kwenye ISSUU: Ulinzi wa miti cha Save the Elephants - Issuu
- Version 1
- Download
- File Size 9.86 MB
- File Count 1