Vituo Vya Maji Vya Pamoja/Mbadala

Vituo vya maji mbadala vinatoa usalama kwa jamii za vijijini na mifugo yao ambayo inatumia vyanzo vimoja na ndovu. Hii inawawezesha ndovu na mifugo kunywa maji bila kufarakana.
Soma bure kwenye ISSUU: Vituo Vya Maji Vya Pamoja/Mbadala cha Save the Elephants - Issuu
- Version 1
- Download
- File Size 10.2 MB
- File Count 1