Droni na Njia za Anga
Hahn na wenzie wamethibitisha hili kwenye mfano hai wao wa mwaka 2017, ukionyesha mafanikio ya 100% kwamba ndovu wanaweza wakafukuzwa kabisa kwenye maeneo yenye migogoro baina ya binadamu na ndovu kwa kutumia droni.
Soma bure kwenye ISSUU: Droni na Njia za Anga Save the Elephants - ISSUU
- Version 1
- Download 2
- File Size 5.88 MB
- File Count 1