Umuhimu wa muunganiko kupitia ushoroba za wanyama pori
Kuwa na ushoroba wenye manufaa ni mkakati wa muda mrefu ili kuzuia migogoro kati ya ndovu na binadamu, kurahisisha harakati za ndovu na jeni zao, na kuwaruhusu kuchangamana na kuzaliana.
Soma bure kwenye ISSUU: Umuhimu wa muunganiko kupitia ushoroba za wanyama pori cha Save the Elephants - Issuu
- Version 1
- Download
- File Size 10.8 MB
- File Count 1