Kizuio chenye Harufu inayofukuza ndovu
Hii ni dawa ya kufukuza ya harufu kali inayotengenezwa kutoka kwa viambato vya bei ya chini. Ina mbinu 2 za kutumia na inaweza kusaidia kulinda mimea na kuzuia ndovu kuingia kwenye mipaka ya shamba.
Soma bure kwenye ISSUU: Kizuio chenye Harufu inayofukuza ndovu cha Save The Elephants - Issuu
- Version 1
- Download 1
- File Size 2.1 MB
- File Count 1