Skip to main content

Vizuio vya Pilipili

Pilipili ni kizuizi cha asilia. Huwa na kemikali iitwayo kapsaisini ambayo huwasha mapua na macho ya ndovu. Pilipili zinaweza kutumika kwa njia mbalimbali na kama mbinu inayohitaji teknolojia ya chini na isiyo hatari ya kuwafukuza ndovu.

Soma bure kwenye ISSUU: Vizuio vya Pilipili cha Save The Elephants - Issuu

Login is required to access this page
  • Version 1
  • Download
  • File Size 12.4 MB
  • File Count 1