Ndovu kama wahandisi wa mfumo wa ikolojia
![](https://ste-coexistence-toolbox.info/wp-content/uploads/2022/03/Elephants-as-key-stone-species-EESE-300x214.png)
Wahandisi wa mfumo ikolojia ni wanyama ambao huunda, kubadilisha au kuharibu makazi. Ni muhimu kwa kudumisha afya na uthabiti wa mazingira wanapoishi.
Soma bure kwenye ISSUU: Ndovu kama wahandisi wa mfumo wa ikolojia cha Save The Elephants - Issuu
- Version 1
- Download 3
- File Size 7.09 MB
- File Count 1