Skip to main content

Utangulizi kwa Ndovu

Ndovu ni mamalia wakubwa zaidi wanaoishi duniani. Miaka mia moja tu iliopita, kulikuwa na milioni 10 za ndovu wa kiafrika walioishi katika bara la Afrika. Kufikia 2016, hata hivyo, idadi yake ilipungua hadi 450,000 tu.

Soma bure kwenye ISSUU: Utangulizi kwa Ndovu cha Save The Elephants - Issuu

Login is required to access this page
  • Version 1
  • Download 1
  • File Size 22.8 MB
  • File Count 1