Skip to main content

Nyua za Mizinga ya nyuki

Ua wa mizinga ni mifululizo ya mizinga ya nyuki iliyounganishwa na waya na kujengwa ikizunguka nje ya shamba ili kusaidia kulinda mazao kutokana na uvamizi wa ndovu. Nyuki hutoa asali na huduma za uchavushaji kwa mkulima.

Soma bure kwenye ISSUU: Nyua za Mizinga ya nyuki cha Save The Elephants - Issuu

Login is required to access this page
  • Version 1
  • Download 1
  • File Size 3.60 MB
  • File Count 1